Msaada please wa forex imeleta hiv niende wapi

devor

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2017
Posts
1,031
Reaction score
927
Screenshot_20180415-214525.png
 
Sasa unaleta huku mambo ya Forex? Peleka jukwaa la biashara au ujasiriamali
 
Kama hiyo siyo demo account umeweka ela kweli na unashindwa hata pa kwenda je kutrade utaweza kweli au wataka kula loss mkuu.
Maana hata platform uenyewe ina maana huelewi inafanya kazi vipi hii ni sawa na kurusha shillingi juu ya tundu la choo
 
hahahahaha we jamaa umenifuhisha sana
 
Kama hiyo siyo demo account umeweka ela kweli na unashindwa hata pa kwenda je kutrade utaweza kweli au wataka kula loss mkuu.
Maana hata platform uenyewe ina maana huelewi inafanya kazi vipi hii ni sawa na kurusha shillingi juu ya tundu la choo
Io hela ukifanikiwa kufungua account unapewa kama kianzio mkuu na nimefanikiwa Ku trade
 
Back
Top Bottom