Banchikicha........vum vum........macheura........tikri......rede.......mdako.......baishoo.......esta esta.......
Niendelee..........?....
Duuh hebu endelea tu
Kujificha,Nina ndoo yangu ah , ya kuteka maji ah , maji yabarafu..Watoto wangu eh , eh, mimi mama yenu.......
Eh, sina nguvu tena eh, za kuuwa simba eh, simba ni ......
Haya tumejua promo yako kuwa Upo foreign country...
Siku hizi nyimbo hizi hauzisikii tena maana KIZAZI hiki wako busy na iphone,ipad,TV nk...............
Huu ninaupenda sana. Hadi leo!
Siku hizi nyimbo hizi hauzisikii tena maana KIZAZI hiki wako busy na iphone,ipad,TV nk...............
Wasalaam JF
Nipo nje ya nchi nataka kufundisha wazungu michezo ya kufurahisha ya kitoto tuliyocheza zamani kama unajua mojawapo niwekee hapa tafadhali iwe ambayo inawezekana kuchezwa ndani ya ukumbi mimi nimeshasahau.
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu.
wafundishe mchezo mbaya
Mimi mwanangu wa pili ana miaka 5 lakini anafahamu kuitumia smartphone yangu kuliko hata mimi. Imenibidi kudown load folder la KEEP SAFE nahifadhi vitu vyangu humo isiwe tabu.