Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
Bure bure tu?Wasalaam JF
Nipo nje ya nchi nataka kufundisha wazungu michezo ya kufurahisha ya kitoto tuliyocheza zamani kama unajua mojawapo niwekee hapa tafadhali iwe ambayo inawezekana kuchezwa ndani ya ukumbi mimi nimeshasahau.
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu.
Wasalaam JF

Banchikicha........vum vum........macheura........tikri......rede.......mdako.......baishoo.......esta esta.......
Niendelee..........?....
Pole ndugu yanguHaya tumejua promo yako kuwa Upo foreign country...
Daah inatakiwa ichezwe ndani ya ukumbi mkuuKula umbakshie baba...pamoja na tobo bao!
Kibaba baba na mama, kombolela, kujificha, rede, mwingine ukiinama unapigwa tekeWasalaam JF
Nipo nje ya nchi nataka kufundisha wazungu michezo ya kufurahisha ya kitoto tuliyocheza zamani kama unajua mojawapo niwekee hapa tafadhali iwe ambayo inawezekana kuchezwa ndani ya ukumbi mimi nimeshasahau.
Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu.
Huu ninaupenda sana. Hadi leo!Wa kibaba
Hapa ndipo inaponifurahisha JF, maana hapa siyo mara pa kujivunza tu kutoka kwa great thinkers bali pia kuna kuvunja mabavu ile mbaya.kwa hiyo tujirekodi tukicheza kama watoto halafu tukutumie clip au tuandike scripts?
Mkuu hebu nipe maujuzi basi niwatangaze wasukumasisi enzi zetu kule Usukumani tulicheza sana Chagulaga, sio mbaya ukiwafundisha huko nje ya nchi pia!
kwa hiyo tujirekodi tukicheza kama watoto halafu tukutumie clip au tuandike scripts?