Msaada Please: Ninaomba kuonana na ndugu Athumani Kihamia

Msaada Please: Ninaomba kuonana na ndugu Athumani Kihamia

Status
Not open for further replies.

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2012
Posts
17,306
Reaction score
19,880
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.

Eti ndugu zangu watanzania;

Ninawezaje kuonana na huyu Ndugu Athumani Kihamia aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha na Mkurugezni ndani ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi?

Nina shida naye binafsi wazungu wanaita "Private Business" yaani siwezi kutoka tu huku Mbagala ninapokaa kisha nikaenda kuonana na mtu ambaye hanifahamu (japo mimi ninamfahamu) na wala sina appointment naye.

Lazima hata yeye atanishangaa au kukataa kuonana na mimi.

Kwa anayeweza kunisaidia kuonana naye ninaomba aje PM Please Please Please.

THANKS IN ADVANCE.

OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
 
Ukiwa Dar, panda basi Dar express au Ester waambie unaenda Rombo na ushukie Mkuu.. Ukifika Mkuu ulizia ofisi za mkuu wa wilaya ya Rombo utapelekwa moja kwa moja. Wakati wa kurudi pitia pale Mamsera ule mbege kidogo na mbuzi safi wa kuchoma kwa mwarabu pale. Nafikiri nimekusaidia
 
Sawa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom