Habari wanajamvi
Jamani shida yangu ni mmoja tu nahitaji ni app gani ambayo itaniwezesha ili kuweza kuhuck simu ya wife maana mmmh please serious mwenye
uelewa

Achana na hizo habari usimchunguze sana bata hutamla... Asali ni tamu sana lakini combination ni pamoja na maji maji ya kinyesi kilichooza
Penye upendo wa kweli kuna kujali kuna commitment, kuna heshima na uaminifu kinyume na hapo mtaishi kwa kuwindana na kuviziana na kuchunguzana
Kwenye hilo unalotaka kufanya kuna matokeo matatu
1.kuvuna aibu
2. Kupata shinikizo la damu
3. Kuambulia patupu
Kwahiyo fanya utakayo kufanya lakini jiandae na matokeo yoyote