Duuh pepa tena, any way sawa mkuu asante kwa mwongozoKwa Daslamu..Kama hajabatizwa anapaswa abatizwe kwanza,atapewa na sacrament zingine, then ataenda mafundisho kwa miezi sita, atapigwa Pepa, akifaulu ndo ataruhusiwa kuanza taratibu za ndoa.
Sawa mkuu nitakuchekiUkiwa na ela yako tu, Kuna padri mmoja anakufanyia mpango kila kitu kinakaa poa ndani ya siku tatu tu, nitafute
Sent using compute mpakato
Yah wanafanya MsimbaziDuuh pepa tena, any way sawa mkuu asante kwa mwongozo
Hao ndiyo wanauwa dini. Papa Francis alishasema hatuhitaji idadi kubwa ya waumini bali waumini wanaoeielewa dini hata wakiwa wachache.Ukiwa na ela yako tu, Kuna padri mmoja anakufanyia mpango kila kitu kinakaa poa ndani ya siku tatu tu, nitafute
Sent using compute mpakato
Weka jina lake hapa mkuu tumpe chake watu tufanye yetuUkiwa na ela yako tu, Kuna padri mmoja anakufanyia mpango kila kitu kinakaa poa ndani ya siku tatu tu, nitafute
Sent using compute mpakato