Wewe ni mpumbavu sasa kosa langu ni nini hapoKama huna msaada bora utulie humu sio pakutafutia sifa sifa zako peleka kwenu
Inahusu mambo ya kale, ni nzuri sana, na kuna uwezekano utafika hadi mpaka kwenye mapiramidi ya huko Misri au kule Easter Island ukiwa katika kazi ya kufanya utafiti. Kuna mtu mmoja namfahamu sasa hivi anafanya PhD yake kule Canada. In fact, almost wewe kila kitu ambacho ni cha kale na ambacho kinaonekana kuwa ni maajabu hapa duniani utakifahamu na ama kukiona kabisa kwa macho. Pia kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa kama wewe huamini kuwa Mungu yupo, kozi hii itakupelekea uamini hilo na kukusababisha uanze kwenda msikitini au kanisanii. I like ArcheologyWakuu naombei msaada juu ya kozi ya bachelor in archeology ya udsm,kwani ndo kozi niliyobahatika kupata second round.nahitaji kujua inahusu nn na ajira zake kiujumla.napenda kusema haya yote ni TCU inafanya mpaka tuchanganyikiwe na kuweka kozi ambazo hatuzielewi kutokana na kuhofia kukosa chuo.ntashukhuru endapo mtanisaidia
Asante watu kama nyie mnapaswa kuwa ktka jf ,je hii course field inakuwaje na kuajiriwa pamekaaje naomba msaada mkuuInahusu mambo ya kale, ni nzuri sana, na kuna uwezekano utafika hadi mpaka kwenye mapiramidi ya huko Misri au kule Easter Island ukiwa katika kazi ya kufanya utafiti. Kuna mtu mmoja namfahamu sasa hivi anafanya PhD yake kule Canada. In fact, almost wewe kila kitu ambacho ni cha kale na ambacho kinaonekana kuwa ni maajabu hapa duniani utakifahamu na ama kukiona kabisa kwa macho. Pia kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa kama wewe huamini kuwa Mungu yupo, kozi hii itakupelekea uamini hilo na kukusababisha uanze kwenda msikitini au kanisanii. I like Archeology
Sijui zaidi ya hayo niliyokueleza, mimi sijasoma kozi hiyo!Asante watu kama nyie mnapaswa kuwa ktka jf ,je hii course field inakuwaje na kuajiriwa pamekaaje naomba msaada mkuu
Mambo unayoyataka kwa kozi unayotamani kusoma ndiyo kama haya hapa! I like archaeologyWakuu naombei msaada juu ya kozi ya bachelor in archeology ya udsm,kwani ndo kozi niliyobahatika kupata second round.nahitaji kujua inahusu nn na ajira zake kiujumla.napenda kusema haya yote ni TCU inafanya mpaka tuchanganyikiwe na kuweka kozi ambazo hatuzielewi kutokana na kuhofia kukosa chuo.ntashukhuru endapo mtanisaidia