Salaam wataalam wa mambo ya tehama....samahani kwa mwenye kuweza kuweka internet download manager software ili tu-download na kuinstall (not a trial version please) naomba msaada huo coz naihitaji niliyokuwa nayo imecrash then nahitaji kupata kwa haraka zaidi. Natanguliza shukrani za dhati kabisaaa.