wanawake/wadada wenzangu, naomba mnisaidie katika hili tatizo linalonikabili ambalo naona linazidi kuwa sugu kwa sasa; kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikipata wachumba wengi tu wanaodai wana lengo la kuishi nami kama mke na mme baadaye. Tatizo ni kwamba kila mmoja hutaka "kuonja" na nikimtolea nje "husepa" na kukata mawasiliano na mimi kabisa.
Wanawake/wadada wenzangu wapenzi, ninyi mnakabiliana vipi na hili tatizo? Natamani kuwa "mrs" lakini kwa mwendo huu naanza kuhisi kuwa nitakuwa "miss" wa kudumu.
Wanawake/wadada wenzangu, naomba mnisaidie katika hili tatizo linalonikabili ambalo naona linazidi kuwa sugu kwa sasa; Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikipata wachumba wengi tu wanaodai wana lengo la kuishi nami kama mke na mme baadaye. Tatizo ni kwamba kila mmoja hutaka "kuonja" na nikimtolea nje "husepa" na kukata mawasiliano na mimi kabisa.
Wanawake/wadada wenzangu wapenzi, ninyi mnakabiliana vipi na hili tatizo? Natamani kuwa "mrs" lakini kwa mwendo huu naanza kuhisi kuwa nitakuwa "miss" wa kudumu.
Shosti, wanaume wa siku hizi neno "uchumba' wanalitumia kama chambo cha kutunasa sie wadada. Ukiruhusu kila anayekuja na hiyo gia ya uchumba kugegeda mbona itakuwa hatari tupu!!mapenzi ya siku hizi wanaume wanapenda kugegeda first.......
its a new fashion in town mwaya
ila kuna kamsemo kamoja ka Smile kuwa its better to test the guy first before...... akija mwenyewe atakudadafulia zaidi
Wanawake/wadada wenzangu, naomba mnisaidie katika hili tatizo linalonikabili ambalo naona linazidi kuwa sugu kwa sasa; Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikipata wachumba wengi tu wanaodai wana lengo la kuishi nami kama mke na mme baadaye. Tatizo ni kwamba kila mmoja hutaka "kuonja" na nikimtolea nje "husepa" na kukata mawasiliano na mimi kabisa.
Wanawake/wadada wenzangu wapenzi, ninyi mnakabiliana vipi na hili tatizo? Natamani kuwa "mrs" lakini kwa mwendo huu naanza kuhisi kuwa nitakuwa "miss" wa kudumu.
ahaaa mwanaume wa kuoa nadhani utamjua tu! kugegedana kitu gani bwana hata kuku wanagegedana! mwanaume wa kuoa wala hana time kiviile na hayo mambo. atapenda kukujua na kukufahamu vizuri wewe mtu hakujui hata jina la pili , hajui hata dini yako anakuambia mambo kibao ....huyo akuombe tu uamue umpe au vipi aache kudhalilisha neno ndoa!mi nashukuru sijawai kuombwa kwa jina la ndoa!mapenzi ya siku hizi wanaume wanapenda kugegeda first.......
its a new fashion in town mwaya
ila kuna kamsemo kamoja ka Smile kuwa its better to test the guy first before...... akija mwenyewe atakudadafulia zaidi
angalizo:-
naomba nichangie kwa kupinga hoja...."kwa wanawake tu" ..huu ni ubaguzi coz munayoyaongelea yanatuhusu na sie wanaume pia...mungekuwa munaongelea vitu kama kansa ya ziwa na cervical cancer kidogo ningewaelewa cause ni mambo ya jinsia tofauti na yangu ila unapoongelea wanaume lazma tuje nasi tujitetee.
utetezi:-
kwanini na wewe unataka uolewe bila kuonjwa..what if sio mtamu kwahiyo nibebe gunia la misumari till death do us apart?...hatutaki kununua bidhaa pasipo kuhakiki ubora wake coz sikuhizi soko limejaa takataka za kina hu ju ntao.
Ukivumilia utakuja mpata asiyependa kugegeda mpaka mfunge ndoa....ukianza kuonjesha watakutumia mpaka utajua kilicho mkunja mbwa mkia.
ahaaa mwanaume wa kuoa nadhani utamjua tu! kugegedana kitu gani bwana hata kuku wanagegedana! mwanaume wa kuoa wala hana time kiviile na hayo mambo. atapenda kukujua na kukufahamu vizuri wewe mtu hakujui hata jina la pili , hajui hata dini yako anakuambia mambo kibao ....huyo akuombe tu uamue umpe au vipi aache kudhalilisha neno ndoa!mi nashukuru sijawai kuombwa kwa jina la ndoa!
hapo mwisho kiboko
nataka ushauri toka kwa wanawake wenzangu waliokwisha kukutana na kadhia hii mbinu waliyotumia wakafanikiwa kuitatua.
hapo kwenye utetezi umenichekesha saana ila sasa si hadi umpate huyo mtamu otherwise unless utaishia kuonjwa na kuonja bidhaa za wenzio...
by the way marriage ni zaidi ya kuonjwa Ati.............??