mkuu ngoja tusubili wataalam waje sababu hata mmnilikuwa na katatizo ila mm nilikapuuzia.
tatizo langu mm labda nitoe back ground kdg ya tatizo lenyewe. kuna jamaa yangu 1 nilimuazima kamera baadae akajakuniludishia lkn nilipo iwasha ili nipige picha screen yake hai display picha ninayotaka kuipiga inamaana kwenye screen sioni kitu chochote lakini yale maandishi ya setting yanaonekana.
na hata kama ukisema upige picha inapiga kama kawaida lkn inaonyesha kiza tuu?
kamera yangu ni kodak M550
tunaomba msaada wenu wakuu au kama kuna fundi anayeweza kutusaidia tunaomba contact zake tumpe dili