MSAADA PLEASE CHUO GANI WACHUKUA UFAULU WA DIV 4 . POINT 28?

asubuhi sana

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2015
Posts
1,669
Reaction score
1,418
Habari za Wakati Ndg Wadau wa JF

Mdogo wangu anaufaulu wa Division 4 point 28 ... Ni Chuo gani hapa Anaweza kusoma Kwa alama hizi katika Masomo yake

Civics D
History D
English C
Kiswahili C
Geography F
Chemistry F
Biology D
Mathematics F
Physics -
-- NB.....Mdogo wangu anapenda Mambo ya kilimo na Umeme ...

Natanguliza Shukrani ! Ningependa Chuo Kama kitakuwa Karibu na Mkoa wa Singida itakuwa Vyema zaidi

Samahani Kwa kuwakatisha katika kujadili uwasilishwaji wa Report ya CAG bungeni Leo

Moderator Nisaidie kurekebisha heading hapo juu ! WANACHUKUA
 
Vyuo vipo vingi tuu bro.. wanachukua kwa pass 4 ( yaan D nne na kuendelea)

Kwa vyuo vyote vinavyodahili ngazi ya cheti ndo atapata.. ingia nacte.go.tz utachagua kozi then uta apply
 
Habari za Wakati Ndg Wadau wa JF
Mdogo wangu anaufaulu wa Division 4 point 28 ... Ni Chuo gani hapa Anaweza kusoma Kwa alama hizi katika Masomo yake
Civics D
History D
English C
Kiswahili C
Geography F
Chemistry F
Biology D
Mathematics F
Physics -
-- NB.....Mdogo wangu anapenda Mambo ya kilimo na Umeme ...
Natanguliza Shukrani ! Ningependa Chuo Kama kitakuwa Karibu na Mkoa wa Singida itakuwa Vyema zaidi
Samahani Kwa kuwakatisha katika kujadili uwasilishwaji wa Report ya CAG bungeni Leo
Moderator Nisaidie kurekebisha heading hapo juu ! WANACHUKUA
Ukiingia kwenye tovuti ya nacte utakuta vyuo vingi sana utachagua utakachoona kina sifa zinazoendana na course ambayo mdogo wako anapenda
 
Mathematics F,
Physics F,

Hapo suala la umeme... Naomba asitishe kidogo.... Anaweza akapoteza uhai pasipo sababu za msingi

Tukija kwenye kilimo pia... Sidhan.

Ila kuhusu chuoo.... Asilimia 90 vyuo vyoote tanzania... Ngazi ya certifcte ni d nne tu...

Yko vizuur dogo
 
Mpeleke veta tu ndio chuo pekee kilichobaki kwa kozi za kuajiriwa na kujiajiri
 
masomo yote ya science ana F, kilimo na umeme hatapata.

college zipo nyingi za fani tofauti, binafsi ningemshauri aende Veta kuliko college.

ushauri tu
 
Back
Top Bottom