Fanya yafuatayo. Ingia settings, halafu ingia applications halafu manage. Kwenye list ya chagua playstore, Clear cache, Clear data. Ukimaliza nenda ukafungue playstore tena. Itachukua muda kidogo kutokana na ku-load information na ukagua version ya simu yako na mengine mengi, lakini haizidi sekunde 20.