Msaada: Playstation plus account

Msaada: Playstation plus account

ahmedrawahy

Member
Joined
May 16, 2013
Posts
6
Reaction score
0
Jinsi ya kujaza equity visa card details katika aacount ya playstation plus. Nataka niweze kucheza game za online
 
nauza digita codes za almost platform zote
-steam
-xbox live
-playstation store
-PSN
So unataka subscription ya mda gani Psn
 
Ahsante kaka. Hyo nitakufuata ila na hili tatizo langu unaweza kunisaidia
nenda tu kwe login then ps plus kule watataka uweke namba za kadi weka namba 14 za mbele na 3 za nyuma hapo ni baada ya kuweka majina yako na eneo unapokaa inategemea accounta yako umefungua region gan..either marekani au south africa..hakikisha account inakiasi ambacho kinaweza nunua hiyo game unayotaka either usd 30 au usd 50
 
Kaka hvi nimejaribu sana haikubali.
 
nenda tu kwe login then ps plus kule watataka uweke namba za kadi weka namba 14 za mbele na 3 za nyuma hapo ni baada ya kuweka majina yako na eneo unapokaa inategemea accounta yako umefungua region gan..either marekani au south africa..hakikisha account inakiasi ambacho kinaweza nunua hiyo game unayotaka either usd 30 au usd 50
Haikubali kuadd card details
 
Back
Top Bottom