Nilitaka nifute iliyopo apk itakubali iliyopo haifungukiHapo hujaelewa kunavitu viwili hapo vya muhimu ambavyo vinatakiwa kuwa updated cha kwanza hapo ambacho wamekusisitiza ni google play service haiko updated make sure una i update i hope kila kitu kitakuwa poa
Ni DM nikusaidieNilitaka nifute iliyopo apk itakubali iliyopo haifunguki