NDESSA JF-Expert Member Joined May 2, 2013 Posts 1,946 Reaction score 1,801 Nov 15, 2016 #1 Wakuu naomba anaejua studio nzuri inayopiga picha za kawaida na kuedit maeneo tajwa anisaidie, Sihitaji picha nyingi ni mbili tatu tu nzuri. Asante.
Wakuu naomba anaejua studio nzuri inayopiga picha za kawaida na kuedit maeneo tajwa anisaidie, Sihitaji picha nyingi ni mbili tatu tu nzuri. Asante.
I ibanezafrica JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 7,261 Reaction score 6,556 Nov 16, 2016 #2 Pale ubungo kiwandani Urafiki Getini upande Wa kushoto mwa geti kuu LA kuingilia kiwandani
92mtl JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 459 Reaction score 309 Nov 16, 2016 #3 nenda stand ya makumbusho lango la kutokea kuna jengo lina tizamana na lango hilo kwa ndan uwani kuna studio kubwa na vifaa murua lakin hawana bango nadhan wana kwepa ushuru cjui lakin huenda saiv lime wekwa pia bei zao n cheaap
nenda stand ya makumbusho lango la kutokea kuna jengo lina tizamana na lango hilo kwa ndan uwani kuna studio kubwa na vifaa murua lakin hawana bango nadhan wana kwepa ushuru cjui lakin huenda saiv lime wekwa pia bei zao n cheaap
NDESSA JF-Expert Member Joined May 2, 2013 Posts 1,946 Reaction score 1,801 Nov 16, 2016 Thread starter #4 Asanteni.
mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,700 Reaction score 9,070 Nov 16, 2016 #5 mwenge stand ya zamani pale kwenye mti mkubwa ambapo zilkuwa zinapaki gari za goms kuna jm photo studio wapo vzr sana
mwenge stand ya zamani pale kwenye mti mkubwa ambapo zilkuwa zinapaki gari za goms kuna jm photo studio wapo vzr sana
NDESSA JF-Expert Member Joined May 2, 2013 Posts 1,946 Reaction score 1,801 Nov 17, 2016 Thread starter #6 Asante.
naumbu JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 4,717 Reaction score 8,093 Nov 17, 2016 #7 Mlimani city mall opposite na JD pharmacy
Kisu Cha Ngariba JF-Expert Member Joined Jun 21, 2016 Posts 22,133 Reaction score 48,857 Nov 17, 2016 #8 Mlimani City pembeni ya NMB
Mitha JF-Expert Member Joined Jun 26, 2016 Posts 706 Reaction score 1,024 Nov 21, 2016 #9 Kituo cha daladala cha mawasiliano ,opp na geti la kutokea daladala , bei zao ni cheap sana .more info ni pm
Kituo cha daladala cha mawasiliano ,opp na geti la kutokea daladala , bei zao ni cheap sana .more info ni pm
Agent007 Senior Member Joined Nov 15, 2015 Posts 106 Reaction score 80 Nov 21, 2016 #10 pale ubungo stendi mpya kule mawasiliano ipo studio inaitwa dotpic