MSAADA: Pesa ya Morroco, Dirham inabadilishwa Tanzania?

MSAADA: Pesa ya Morroco, Dirham inabadilishwa Tanzania?

Bless21

Member
Joined
Aug 20, 2022
Posts
71
Reaction score
92
Hello JF,

Naomba kuuliza kama Dirham ya Morocco inabadilishwa Tanzania, niko Zanzibar.
 
Wanakuja kukupa miongozo.

USIONDOKE TULIA HAPOHAPO MKUU.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Nenda main branch ya benki kati ya hizi hiyo huduma utaikuta
NMB,CRDB AU NBC
 
Nenda main branch ya benki kati ya hizi hiyo huduma utaikuta
NMB,CRDB AU NBC
Huyo Mkuu Anauliza Sababu Akifika Bureau De Change
Ule Ubao Wao Huoni Baadhi Fedha Kuuza/Kununua
 
Hello JF,

Naomba kuuliza kama Dirham ya Morocco inabadilishwa Tanzania, niko Zanzibar.
Ndio, inabadilishwa

Kuna Mshkaji wetu mmoja Mmorocco ila anaishi Switzeland ni Mountain Climber (Alpinist) alikuja kupanda Mt. KLM na alikuwa na Dirham za Morocco akiwa Arusha na alikuwa anachange kawaida

1 Dirham inaenda mpaka 250Tsh
 
Jaribu Habib Bank kariakoo DSM unaweza kufanikiwa

1. Kama anazo nyingi it worth it kwa sababu benki nyingi tz au bureau de change hawabadilishi dirham ya Morocco.

2. Zanzibar na Dar sio mbali though.

3. Nina experience na Habib Bank nilishawahi kubadilisha dinar ya za Tunisia mwaka 2013 so obviously hata Dirham ya Morroco anaweza kubadilishiwa.

# kutoka zenji hadi Dar inaweza kuwa mbali lakini kwa hela karibu
 
Ndio, inabadilishwa

Kuna Mshkaji wetu mmoja Mmorocco ila anaishi Switzeland ni Mountain Climber (Alpinist) alikuja kupanda Mt. KLM na alikuwa na Dirham za Morocco akiwa Arusha na alikuwa anachange kawaida

1Dirham inaenda mpaka 250Tsh
Mpaka 250Tsh Umekosea Ama!! Samahani Lakini
 
1. Kama anazo nyingi it worth it kwa sababu benki nyingi tz au bureau de change hawabadilishi dirham ya Morocco.

2. Zanzibar na Dar sio mbali though.

3. Nina experience na Habib Bank nilishawahi kubadilisha dinar ya za Tunisia mwaka 2013 so obviously hata Dirham ya Morroco anaweza kubadilishiwa.

# kutoka zenji hadi Dar inaweza kuwa mbali lakini kwa hela karibu
😅😀😄😄
 
Zanzibar washenzi, mwezi wa Agosti nilitembea huko benki zote zilikataa kubadilisha hela za Kenya, wakasema wao wanachukua Dola tu, Euro na Sterling Pounds. Ilibidi nimtumie jamaa mmoja pale sokoni.
 
Morocco dirham utapata taabu sidhani kama utafanikiwa. Benki au Money changer hawataki pesa zisizo toka sababu kazi yao ni kununua na kuuza pesa.
 
Back
Top Bottom