Hapana haina kabisa . wakati imezima ilikuwa hata haitumiki . baada ya kumaliza chuo matumizi yake yalipungua . sasa juzi nilitaka kuitumia imegoma kuwa . mlio wa feni inasikika , taa za betri zinawaka na chaji inapokea . tatzo ni screen ndo hubaki kama imezika tuu hata mwaka wowote hautokei