Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,149 Jan 26, 2021 #1 Habari, Husika na kichwa cha habari kama kinavojieleza. Tatizo hili limeanza baada ya kuweka window 10 pro kutoka window 8 pro. Natumai nitapata msaada.
Habari, Husika na kichwa cha habari kama kinavojieleza. Tatizo hili limeanza baada ya kuweka window 10 pro kutoka window 8 pro. Natumai nitapata msaada.
Nazi Ignition JF-Expert Member Joined Jun 3, 2020 Posts 2,143 Reaction score 6,049 Jan 26, 2021 #2 Shadow7 said: Habari, Husika na kichwa cha habari kama kinavojieleza. Tatizo hili limeanza baada ya kuweka window 10 pro kutoka window 8 pro. Natumai nitapata msaada. Click to expand... Feni nzima?
Shadow7 said: Habari, Husika na kichwa cha habari kama kinavojieleza. Tatizo hili limeanza baada ya kuweka window 10 pro kutoka window 8 pro. Natumai nitapata msaada. Click to expand... Feni nzima?
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,149 Jan 26, 2021 Thread starter #3 Wapakate said: Feni nzima? Click to expand... Nzima kabisa
Nazi Ignition JF-Expert Member Joined Jun 3, 2020 Posts 2,143 Reaction score 6,049 Jan 26, 2021 #4 Shadow7 said: Nzima kabisa Click to expand... Ngoja waje wataalamu ila kuondoa tatizo rudisha ile windows 8
Shadow7 said: Nzima kabisa Click to expand... Ngoja waje wataalamu ila kuondoa tatizo rudisha ile windows 8
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,149 Jan 26, 2021 Thread starter #5 Sawa Wapakate said: Ngoja waje wataalamu ila kuondoa tatizo rudisha ile windows 8 Click to expand...
racka98 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2020 Posts 1,042 Reaction score 1,547 Jan 26, 2021 #6 Shadow7 said: Habari, Husika na kichwa cha habari kama kinavojieleza. Tatizo hili limeanza baada ya kuweka window 10 pro kutoka window 8 pro. Natumai nitapata msaada. Click to expand... Kma fan ni nzima basi unatakiwa ukabadilishe thermal paste. Ule uji uji unaowekwa kati ya CPU na heatsink iliyounganishwa kwenye feni. Kma we mwenyew ni mtundu unaweza nunua paste kkoo buku 5 hadi 10 ukabadilisha mwenyewe
Shadow7 said: Habari, Husika na kichwa cha habari kama kinavojieleza. Tatizo hili limeanza baada ya kuweka window 10 pro kutoka window 8 pro. Natumai nitapata msaada. Click to expand... Kma fan ni nzima basi unatakiwa ukabadilishe thermal paste. Ule uji uji unaowekwa kati ya CPU na heatsink iliyounganishwa kwenye feni. Kma we mwenyew ni mtundu unaweza nunua paste kkoo buku 5 hadi 10 ukabadilisha mwenyewe
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 64,087 Reaction score 98,363 Jan 26, 2021 #7 sasa ushajua tatizo si upeleke kwa fundi??
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,149 Jan 26, 2021 Thread starter #8 King Kong III said: sasa ushajua tatizo si upeleke kwa fundi?? Click to expand... Dah! sawa
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,149 Jan 26, 2021 Thread starter #9 racka98 said: Kama fen ni nzima basi unatakiwa ukabadilishe thermal paste. Ule uji uji unaowekwa kati ya CPU na heatsink iliyounganishwa kwenye feni. Kama we mwenyew ni mtundu unaweza nunua paste kkoo buku 5 hadi 10 ukabadilisha mwenyewe Click to expand... Aaaaaaaaah! Sawa
racka98 said: Kama fen ni nzima basi unatakiwa ukabadilishe thermal paste. Ule uji uji unaowekwa kati ya CPU na heatsink iliyounganishwa kwenye feni. Kama we mwenyew ni mtundu unaweza nunua paste kkoo buku 5 hadi 10 ukabadilisha mwenyewe Click to expand... Aaaaaaaaah! Sawa