Msaada! pc yangu inakataa kuboot

Msaada! pc yangu inakataa kuboot

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
wanajamvi....pc yangu nilikuwa naifanyia disk partition... kwa kutumia partition magic, ikadai kureboot ili changes zitake place...sasa wakati inajiweka na kujikusanya nkaona inanchelewesha nkataka kuiga windows...nikaizima kiubabe. balaa ni kwamba haikuweza kuboot kutoka katika flash...... sasa nifanye nini? kama kitu kinakataa kuboot katika flash..je cd inawezekana
 
Kufanya hdd partition pendelea kufanya hivyo unapo-install windows, hizi partition managers hazina uhakikia 100%, install sasa kwa kutumia cd, kama kuna data zitapotea funga windows 2 i.e usi-format machine, halafu ukishavichukuwa vitu vyako utafunga windows mara ya 2 huku ukifanyia partion wakati wa windows installation.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom