msaada PC yangu inafail kusoma network adapter??

amaa

New Member
Joined
Feb 20, 2011
Posts
4
Reaction score
0
hivi ni kwanini nikiweka network cable kwenye pc yangu inaniletea msg 'network adapter unplugged' lakini nikiweka another comp. kwenye same adapter inasoma kama kawaida. any help please..............
 
<br />
<br />
jaribu kucheki network driver kama zipo safi, pia fanya hardware troubleshoot za hiyo port kwenye motherboard.
 
Back
Top Bottom