da viper
Senior Member
- Dec 3, 2013
- 158
- 43
Pc yangu imezima muda sasa na haitak kuwaka,ukiwasha button inarun kma inataka kuwaka na mgurumo wa fan lakin haidisplay chochote sijajua tatizo ni nn licha ya kuifungua na kuisafisha plus kutoa moto kwenye ram na kufungua hdd
Kma kuna wataalamu au mafundi wa hili tatizo naombeni msaada
Ni hp core i3
Kma kuna wataalamu au mafundi wa hili tatizo naombeni msaada
Ni hp core i3