Mkuu mm n mtumiaji wa PC tu Sina uelewa Sana sema ujafafanua je kabla ya kuchaj ulipiga window je haiwak kiaje Yan hai restart windows au power haiwak kabisa Kama power haiwak kabisa Inawezekana ilipiga short AC au kuna kitu kimeungua peleka kwa technician wa PC wako mjin weng tu inaonekana tatizo lako n hardware Si software