Msaada: PC yangu imekuwa nzito sana

Msaada: PC yangu imekuwa nzito sana

bob ipy

Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
21
Reaction score
17
Nina hp elitebook model yake ni 8570p
Zqmani ilikua inarun vizuri tu lakini saivi kwanza inapowaka tu inakaa zaidi ya dakika 10. Halafu ikishawaka ukifungua program yoyote haifunguki hata video haiplay. Mpaka uiache kwanza kama dakika 5 hivi ndo inakaa fresh

Specs zake ni processor i5 3rd generation, ram 6 gigs, grafics intel hd 4000, hard disk 500 gigs

Msaada tafadhali sijui tatizo litakua ni nini yani ni nzito kinoma.
 
Kuna uwezekano hdd imeanza kufa.

Wakati ikiwa slow fungua task manager (right click taskbar hapo chini chagua task manager)

Kama kuna option ya advanced kwa chini kuikuza task manager click.

Itakuonesha asilimia ni jinsi gani laptop inatumia cpu, ram, storage etc.

Ambayo imejaa 100% hio ndio inafanya laptop inakuwa slow.
 
Asante sana chief inaonesha kweli hdd imetumika kwa 100%
Ngoja nifanye mpango wa kununua nyingine
 
Asante sana chief inaonesha kweli hdd imetumika kwa 100%
Ngoja nifanye mpango wa kununua nyingine
Kama unajiweza mkuu upgrade kwenda ssd, itakuwa faster laptop, na itawaka ndani ya sekunde kadhaa
 
True, weka ssd inafanya pc kuwa fasta kuanzia kuwaka hadi kwenye kutumia.
 
Back
Top Bottom