Kitabu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 313
- 28
Habari za muda huu, nimepatwa na tatizo na ninashindwa kulitatua, nilienda kwenye control Pannel na kufuta program zote za itunes kwa kuwa sizihitaji kwa sasa, lakini baada ya kufanya hivyo ninashangaa niplay audio au video yeyote haina sauti. Tafadhali naomba msaada wenu.