Msaada, pc yangu feni inasumbua

Msaada, pc yangu feni inasumbua

Mr kilaja

Senior Member
Joined
Aug 21, 2016
Posts
112
Reaction score
68
Pc yanguu inatatizoo nikiwasha feni inazunguka afu inakata lkn kweny screen aioneshii,ttz ninii wakuu??
 
Attachments

  • 1541306867171.jpeg
    1541306867171.jpeg
    55.2 KB · Views: 39
Graphics card inaweza kuwa imekufa au loose connection btw mobo and screen
Solution ninii hpoo kiongoz,sabbu fenii ikizima palee kwenyee kitaa cha kuwashia kinazima lkn sehemu ya internent na betri kunaendelea kuwaka
 
Sorry,inaweza kuwa bei gn???
kama 15000/= maana ni kazi ya kupiga blower tuu na hii sio solution kamili ya tatizo maana akishapiga blower pc itafnya kazi kama miezi sita ivi then itazingua tena
kama uyo fundi atakuwa na gpu compatible atakuwekea
 
Asantee kiongoz
 
Back
Top Bottom