Natumia window 8, tatizo linakuja napounga Internet (Natumia modem ya Voda ) nikifungua website yeyote tu, inachukua kama dakika tatu au mbili, ikienda sana dakika tano INAZIMA ... nimechizika, naombemi msaada ndugu na jamaa..
Specifications za hiyo computer zikoje mkuu? maana watu wanakurupu-kia tuu na kutupia kitu cha Windows 8 siku hizi huku wana kitu cha pentium 4 kavu unategemea nini?
Natumia window 8, tatizo linakuja napounga Internet (Natumia modem ya Voda ) nikifungua website yeyote tu, inachukua kama dakika tatu au mbili, ikienda sana dakika tano INAZIMA ... nimechizika, naombemi msaada ndugu na jamaa..
Natumia window 8, tatizo linakuja napounga Internet (Natumia modem ya Voda ) nikifungua website yeyote tu, inachukua kama dakika tatu au mbili, ikienda sana dakika tano INAZIMA ... nimechizika, naombemi msaada ndugu na jamaa..
Maranyingi hilo ni tatizo katika usb device drivers,
Jaribu ku-ftesh install hiyo modem yako
Ama ujaribu usb ports mbalimbali katika pc yako alafu angalia kama tatizo lako litajirudia.