Msaada: PC inapoandika window is not genuine

The Untouchable

New Member
Dec 28, 2015
3
0
Wadau naomba mnisaidie....nikiwasha pc yangu napata ujumbe kwmba window is not genuine...na kila mara napokea notification hiyo....nisaidien wakuu ili kutatua tatizo hili.
Natanguliza shukran zangu
 
Window is not Genuine inamaanisha huja activate window yako, unaweza hakikisha kwa ku "right click " My Computer alafu unachagua Properties, chini kabisa itakwambia Window is not activated.

Chakufanya kuna bahadhi ya crack zipo kwa ajili hiyo, common zaidi ni moja inaitwa Wondow Loader, hii inafanya vyema kama hujatumia zaidi ya siku 30. Kama imepita siku 30 itabidi urudie mara mbili ku crack, ya kwanza utarudisha kwenye status ionekane kama bado siku 30 ya pili ina crack kabisa.
 
Hiyo window loader naipata vip mkuu
 
Back
Top Bottom