luqman luqman
JF-Expert Member
- Jun 14, 2014
- 850
- 1,403
Habari wakuu..
Laptop yangu acer aspire, nikiiwasha, kabla window haija start up inafanya kama ina loose moto hivi, inajizima then inawaka tena yenyewe. Inaweza kufanya hvyo mara kadhaa then ndio inawaka moja kwa moja ila baada ya hapo inapiga kazi vizuri.
Natumia windows 7 Professional.
Kwa anaefahamu anisaidie maana ni kero.
Wassalaam.