Going Concern JF-Expert Member Joined Jul 25, 2011 Posts 1,071 Reaction score 1,213 Jul 5, 2014 #1 nilizima mashine vizuri ilivyowaka file sikuzione zote, zilikua baadhi tu, lakini ukisearch kwenye start menu unapata some folders, nifanyeje zirudi?
nilizima mashine vizuri ilivyowaka file sikuzione zote, zilikua baadhi tu, lakini ukisearch kwenye start menu unapata some folders, nifanyeje zirudi?
autorun255 JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 1,105 Reaction score 364 Jul 6, 2014 #2 Explorer.exe yawezekana haijafunguka vizuri. Inabid kuistop hio explorer.exe na kuianzisha upya. Bofya ctrl +alt + delete kuingia kweny task manager Thn chagua processes Ukiwa hapo itafute explorer.exe Thn bofya end process Baada ya hapo rudi hapo upande w juu ndani ya task manager chagua file --> new task (run) Itakuletea sehemu ya kuandika Andika explorer.exe Then bofya ok. Kazi kwako
Explorer.exe yawezekana haijafunguka vizuri. Inabid kuistop hio explorer.exe na kuianzisha upya. Bofya ctrl +alt + delete kuingia kweny task manager Thn chagua processes Ukiwa hapo itafute explorer.exe Thn bofya end process Baada ya hapo rudi hapo upande w juu ndani ya task manager chagua file --> new task (run) Itakuletea sehemu ya kuandika Andika explorer.exe Then bofya ok. Kazi kwako
nurbert JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 1,887 Reaction score 428 Jul 8, 2014 #3 au stadock fences ?
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,820 Jul 8, 2014 #4 tafuta unused files, zipo hapo. Au fanya system restore.
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,907 Reaction score 1,082 Jul 8, 2014 #5 FaizaFoxy said: tafuta unused files, zipo hapo. Au fanya system restore. Click to expand... Mrembo na huku wafika?
FaizaFoxy said: tafuta unused files, zipo hapo. Au fanya system restore. Click to expand... Mrembo na huku wafika?
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,820 Jul 8, 2014 #6 Kaa la Moto said: Mrembo na huku wafika? Click to expand... Kuna mipaka ya wapi mtu afike na wapi asifike?
Kaa la Moto said: Mrembo na huku wafika? Click to expand... Kuna mipaka ya wapi mtu afike na wapi asifike?
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,337 Reaction score 2,907 Jul 8, 2014 #7 Kaa la Moto said: Mrembo na huku wafika? Click to expand... Hujui kuwa mrembo ni Advanced IT?