Kama unatumia kadi ya benki unaenda kuomba benki statement ya kipindi ulipojiunga na paypal utaikuta hiyo code ndiyo inarudi kwenye paypal site na kuendelea na kuactivate paypal yako. Kila la heri Mkuu

Mkuu mambo vp ,aisee kama una paypal ambayo umeilink na m pesa mastercard waweza nisaidia kunilipia aisee package ya your freedom vpn kama dollar 3 hv,kama vp naomba mkuu nikufuate pm.
Tayari nishafanikiwa kuwa na paypal mkuu na ninaitumia sanaaa tu,na nimelipia bidhaa kama Tano mpaka sasa,,nilikua nafkria labda ni kazi ngumu kumbe ni nyepesi sanaa mkuu.