Nataka kulipa online kwa paypal nimejaribu kulink mpesa mastercard lakini imeshindikana je kuna njia nyingine ya kuweka hela paypal kwa kutumia mobile (kwa tigopesa au mtandao mwingine)
Hakuna huduma ya PayPal Tanzania. Sanasana wadau uwa wanatumia line za safaricom kufanya miamala ya PayPal. Uzuri ni kuwa line za safaricom zinasoma bongo

Baada ya kusajili kuna code fulani 4 unatakiwa kuzijaza, sasa kila nikichungulia email sioni, nkisubiri labda itatumwa kwenye simu sioni mwisho wa siku nkaachana nao

Mkuu jaribu kurudia tena, hakikisha kwenye mpesa MasterCard yako kuna zaidi ya dola 2 then request tena zile code, hakikisha line yako ya Voda iko hewani muda huo watakutumia ndani ya dakika hiyo hiyo hizo code kwa njia ya SMS na sio kwenye email...