Zamani jf unaweka bandiko lako, unapatiwa ufumbuzi lakini siku zinavyo zidi kwenda mambo yana badilika ukiweka bandiko lako hapa usubiri matusi, kejeli na dharau ya kila aina halafu unajiita great thinker, great thinker my A.s.s usiejua kutofautisha matumizi ya majukwaa humu jf. Kila jukwaa unachangia pumba tu.
Elements za facebook ziacheni facebook.