DIDAS TUMAINI
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 242
- 681
naunga mguu hojaAchana Na Facebook
Hujui hiyo page ina kazi gani kwangu,so kama huna msaada wowote ule funga bakuli lako.Achana Na Facebook
Umeripoti vipi huko fb? Ulitumia njia sahihi?Wakuu salamu
Nina page yangu Facebook,kuna jamaa fulani hivi Nadhani ni wa nje ya Tanzania alinitumia sms WhatsApp akisema kuwa anataka awe anaweka matangazo kwenye Facebook page yangu na awe ananilipa.
Alinitumia link ili nijiunge na ile link lilipoicheki ni ya Facebook kweli inayohusu maswala ya Business Advertisement.
Baada tu ya ku login kwenye ile link jamaa aliniondoa kuwa admin wa page yangu,hivyo sina access yoyote ile kwenye page yangu zaidi ya kuiona tu kama viewers wengine.
Nimejaribu ku report Facebook mara kadhaa lakini hawajibu.
NAOMBA KAMA KUNA MTU MWENYE UTAALAMU ZAIDI ANISAIDIE.
Iwapo utafanikisha kuirudisha kwangu,basi sina budi kukulipa japo kidogo tu.
Kama kuna mwenye uwezo naomba anicheki kwa namba hii 0712778881
https://www.facebook.com/help/contact/1280439701975125
Amejieleza Hapo Ni MweupeUsirudie tena kufungua link ambayo hauijui, hili swala tumelizungumza sana humu.Nadhani utakuwa mgeni katika haya maswala ya social networks.
Pole sana mkuu.
ThanksUmeripoti vipi huko fb? Ulitumia njia sahihi?
Ingia hii link
Code:https://www.facebook.com/help/contact/1280439701975125
Angalia kama watakupa option ya kurudisha
Uwez kurudisha hio accounts kwasabab
Hyo alikutumia fake links Tatar atakuwa ameshachange user name, n passwords,
Pole kwa kufanyiwa fishing na social engineering