JuaKali JF-Expert Member Joined Nov 14, 2007 Posts 776 Reaction score 119 Sep 1, 2013 #21 chief-mkwawa said: nyie mnahangaika sana hamna windows yenye gb5 mwenzenu anahangaika kuburn os mbili 32bit na 64bit kwa pamoja Click to expand... Unafikiri hatujui ila tunajaribu kumsaidia kutokana na situation yake, humu ndani si kila mtu anajua anachofanya ndo maana kuna maswali mengi ya ajabu. Hizo Torrent zipo zenye 5GB+ ila namna ya kuzitumia ndo unatakiwa uwe mtundu kidogo.
chief-mkwawa said: nyie mnahangaika sana hamna windows yenye gb5 mwenzenu anahangaika kuburn os mbili 32bit na 64bit kwa pamoja Click to expand... Unafikiri hatujui ila tunajaribu kumsaidia kutokana na situation yake, humu ndani si kila mtu anajua anachofanya ndo maana kuna maswali mengi ya ajabu. Hizo Torrent zipo zenye 5GB+ ila namna ya kuzitumia ndo unatakiwa uwe mtundu kidogo.