Msaada; Online application-SUA

Mzee23

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
1,696
3,472
Kwenye mchakato wa ku-apply SUA kwa mfumo wa online, wakati wa ku- register account unaambiwa "email not sent" na ukijaribu ku-recover password kwa kuweka username na phone number unaambiwa "wrong email" wakati email ni sahihi kabisa na inatumika! Mawasiliano yao nayo magumu.

Msaada kwa aliyeliona hili.
 
Mda wa kuomba chuo bado ndugu
 
Nimejaribu mm hapa hpo hpo sua, eti nikiingiza no ya kidato cha nne inaandika invalid number..... awa jamaa system yao aiko sawa
 
Nenda kwenye website yao kuna video ipo jinsi ya kuapply , inakuwa simple kabisa. Kuhusu namba ukiandika S mbele huweki nukta na mwisho wa namba unaweka mkwaju kisha unaandika mwaka wako wa kumaliza kidato cha nne.
 
Mkuu nina changamoto kwenye kuchagua kozi hapo sua nisahidie namba yako ili nikupigie tuongee yangu 0625448526
 
Back
Top Bottom