Jamani kuna dawa zinazo ondoa infenction ya sulphur pindi mtu unapo kunywa Metakeflyn au Fanzida za kutibu malaria.
Mwenye information anipe data.
Nami huwa linanipata ilo tatizo nikinywa hizo dawa. Chamsinngi ni kutulia na baada ya muda tatizo liakwisha lenyewe. Au kunywa maziwa fresh kuondoa sumuJamani kuna dawa zinazo ondoa infenction ya sulphur pindi mtu unapo kunywa Metakeflyn au Fanzida za kutibu malaria.
Mwenye information anipe data.