Yeah no easy zaidi kudownload kwa kutumia torrent, tusiende kwenye technical details but kwenye matumizi
Utahitaji bittorrent client (program) zinapatikana free so this is what you can do
Google utorrent then fungua official page
Download hiyo utorrent (ni kadogo sana kama kb700 hivi
Install
Hapo utaweza Kudownload
Unapogoogle movie unahitaji ongeza na neno torrent kwa mbele
Pia unaweza kusearch torrent sites kama piratebay na mininova
Ukienda kwenye hizo sites download this torrent
Itafungukia utorrent uliyoistall then you are good to go[thank you very much msaada wako umekua very hlp full