mamu kawambwa
New Member
- Sep 1, 2015
- 4
- 0
wakuu nikilog in kwenye profile yangu ya bodi ya mikopo inagoma kufunguka.. kuna tatizo au? msaada tafadhali
wakuu nikilog in kwenye profile yangu ya bodi ya mikopo inagoma kufunguka.. kuna tatizo au? msaada tafadhali
Mhh....?
Kwahyo ulikuwa unalogin na kulog out mara ya kwanza bila tatizo lolote c ndivyo mkuu...??
Huyu jamaa ni kuziii kwelikwli kuna mijitu mingine Dunia hii sijui imerogwaa....?
Asa kwenye profile yako ya bodi ya mikopo alikuwa anafata nn??muda bado wanaambiwa wasubiri official announcement hayasikii kazi kiherehere tuuu.
Nna wasiwasi na IQ za watanzania wenzangu.