Chukuwa ushauri huu hapa.
Mie nilikuuliza kuhusu taarifa za chombo chako ili nielewe jinsi ya kukusaidia. Tatizo la hizo honda mnazotumia huwa haziko katika hali nzuri ya kitekinolojia ata ziwe ndio kwanza umenunuwa. Utakuta mtu anatumia iyo oil ya total 20W50 lkn bado hapati pafomensi nzuri.
Chamsingi hapa fanya service kwa kutumia hii total 20W50 kila baada ya siku 10 usiangalie saana hizi habari za kilometers kama 5000L