habari..
Najaribu kuisakua new times roman katika office 07 but siipati..
Wapi naitoa..?
Maana font inayokuja ni calibri(body)
je nikii download naiinstall vipi??
Kama cjakosea unavoanza kutype kwa kutumia word, kama ni ivo; click kwenye v pale unapoiona calibri( body) utakutana na iyo new times roman, au ukishaclick ile v wakati wa kuichagua unayohitaji bonyeza herufi n itakuletea new times roman
labda haijawa installed angalia kwenye C:\Windows\Fonts kama utaiona basi jaribu tena kupitia hapo kwenye office ila kama hautaiona hiyo font itabidi udownload then installation yake ni automatiki kwa windows inaelewa jinsi ya kuinstall fonts