Msaada: Nyimbo za sam fan thomas

Msaada: Nyimbo za sam fan thomas

haa haa watu8 baba yangu alikuwa akipenda sana hizo nyimbo yaani akilewa ni lazima nyumba nzima mcheze, mama alikuwa anachukiaje sasa!!

Wazee wa zamani na zile bia za kunywea uvunguni (enzi za Nyerere ukionekana umelewa tu utakiona cha mtema kuni), walikuwa na fujo sana.

Eti enzi hizo ukionekana umelewa au unakunywa basi unaonekana una heeela...
 
haa haa haa kipindi hicho nchi ilikuwa na discipline kweli duuuh.
 
best moja ya nyimbo zake ni ule wimbo walioimba kina hisia ule wa pamoja jumapili . unamahadhi ya kibolingobolingo.

na ile siku nilivokuwa siinjoy.sijui ka nilifuatilia vizuri....waliimba kwa pamojaaaaa
 
Hata sifahamu mpendhi

Watakusaidia wanaofahamu
 
Baby DEMBA ebu kula kitu cha Sabina kwanza

Last edited by a moderator:
Mkuu Kaizer hata hizi nyimbo za ujana wako umeshindwa kumpa baby wako, sasa sisi vijana tukimpa si ndio tunambeba jumla jumla
 
Wewe inaonekana umem miss baba yako

haa haaa The Boss kama ulikuwepo, i miss him a lot (the old one) si unajua sisi mabinti ukaribu na baba unaishaga automatically tukishapevuka. those days nlikuwa namvua soksi na viatu akitoka kazini, siku hizi siwezi tena.
 
Last edited by a moderator:
haa haaa The Boss kama ulikuwepo, i miss him a lot (the old one) si unajua sisi mabinti ukaribu na baba unaishaga automatically tukishapevuka. those days nlikuwa namvua soksi na viatu akitoka kazini, siku hizi siwezi tena.

poleee
 
Back
Top Bottom