Wadau,habari za weekend?Naomba msaada wa ratiba za redio wanaopiga nyimbo za kale hasa nyakati za usiku,tafadhali nitajie redio husika,siku na muda wa kipindi.Asanteni sana
Wadau,habari za weekend?Naomba msaada wa ratiba za redio wanaopiga nyimbo za kale hasa nyakati za usiku,tafadhali nitajie redio husika,siku na muda wa kipindi.Asanteni sana
Mkuu kwa kweli naona hapa utachemsha tu kwani zama za kale kulikuwa hakuna muziki. Kipindi kile cha dinosaurs ilikuwa ni kula ama uliwe huo ndoyi muziki wake. Wazee wetu waliishi mapangoni wakiwa wanaenda kuwinda walikuwa wanapiga makofi kuitana kwani walikuwa hawana ile technology ya ngoma. Majibu ndiyo hayo na kwa hapa Tanzania sijuwi kama kuna redio yeyote yenye hifadhi ya sauti za dinosaurs ama wazee wetu wa mapangoni wakipiga makofi. Pole sana.