Habari nimefanya malipo siku ya pili leo kwenye dish la azam lakini channel hazionyeshi kama kuna mtu ananumber za azam namuomba ili niulize nini tatizo
Habari nimefanya malipo siku ya pili leo kwenye dish la azam lakini channel hazionyeshi kama kuna mtu ananumber za azam namuomba ili niulize nini tatizo
Unatakiwa ufanye hivi *150*50*5# katika simu yako,utaambiwa chagua kiswahili au kingereza,utaambiwa ingiza namba za smartcard,utaona ujumbe Ni namba 4 nadhani unasema washa kisimbuzi,utatuma.utaambiwa ujumbe wako umepokelewa,utazima recorder afu utawasha Kama bado Basi ni tatizo lingine.