Nilefuta picha bahati mbaya naombeni mnisaidie app nzuri ya kuback up picha zilizofutika kwenye SD CARD mwenye ujuzi anipe maana awali nilipata app ila ni trial.