Acha utoto,kuna vitu vimewekwa hapo havina maana,mfano hicho kimfano cha kiti cha kulala,kitanda kinafanya kazi hiyo hivyo kikochi ambatanishwa kilipaswa kuwa cha muundo wa kukaa,
Nyuma ya deck ya kitanda ulipaswa kuweka shelve za kupanga nguo,furniture nyingi za zama hizi hulenga siyo mapambo hulenga kubana nafasi ili vitu visiwe kibao nyumbani
Aisee kwanza serikali 'wakikueka ndani' hiyo siku huwa unapatwa na usingizi wa ajabu bana. Mgeni maalum wa vyombo vya usalama. We acha tu, yaani no stress, kwa sakafu tena. 😀