Msaada NTA Level 5 Semester 1(Clinical medicine)

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Habari za muda huu ndugu zangu. Na mshukuru mungu mimi ni mzima wa afya. Nimekuja hapa ndugu zangu naombeni msaada wenu wa mawazo baada ya kupita level 4 semester 2 kwa GPA ndogo(GPA 3) mtihani wa NACTE ambayo sikuwai hata kuota ila na mshukuru mungu maana mwaka huu ufaur ulikuwa ni shida weng wameangukia kwenye SUPP na RM(kwa walio fatilia basi na iman watakuwa wame jionea hili). Naombeni ushaur wenu vitu gani nivifanye ili hii level 5 niongeze GPA yangu maana nimeambiwa level 5 shule ndio inaanza rasm.

Naomben ushauri wa hivi vitu:
1 Je kusoma vitabu ni vizuri zaid kuliko kusoma module??(level iliyopita sikuwahi kusoma hata kitabu kimoja zaid ya module).

2. Vitabu gani vizuri zaid kuvisoma kwa level yangu?

3. Je kuna yeyote mwenye bank ya maswali??( Chuon kwetu hawatupagi maswali na maanisha past paper hawatupi kabisa kwa hiyo hata mfano wa maswali huwaga hatujui unakuja kuona maswali CAT 1).

4. Naomba ushaur wowote unaujua utakaoweza nisaidia mdogo wenu. Chuo kinafunguliwa tar 22 mwez huu.

Samahani kwa kiswali kibovu ndugu zangu na kwa wale waliosoma zaman level 5 semester 1 masomo yetu ni
1 HEALTH PROMOTION
2 PEDIATRICS
3 PHARMACOLOGY
4 OBSTESTRICS & GYNECOLOGY
5 COMMUNICABLE DISEASE.
ASANTENI SANA WAKUBWA KWA MUDA WENU
 
Mm nauliza, waliopata Supp mwaka huu ( Level 5) je watawwza kujiunga na level 6?? au ndio mpaka mwaka upite?
 
Utaratibu wa nacte unasema mtu akipata supp inabidi asiende level nyingne hadi aichomoe hiyo supp. Vyuoni mtu anaendelea bila shida ila likitokea tatzo chuoni nacte wakaja ndo mtaambiwa hivyo, na kama itabid maybe mhame icho chuo unaenda kusubir supp yako huko uendako ata kama ushaanza kusoma masom ya level inayofuata.
 
Mdogo wangu kamaliza level 5 kapata sup moja, masomo mengine ma4 ana B, na hicho chuo chao hakina level 6 je unashauri nn? maana anataka kurndelea kusoma
 
Soma vitabu kijana, hasa kwa masomo manne hayo except health promotion,
Pharmacology kuna Katzug na Basic Pharmacology.
Paediatric kuna WHO Hospital Pocket Book na Nelson paediatric book
Obs kuna 10 teachers na Duta kama sijakosea
Communicable apo unasoma tanzania treatment guideline kujua ku diagnose na guided treatment
 
Akomae level 5 asipate supp, ili akimaliza ahamie anakotaka, ila apige shule coz wasimamiz weng hawatakag kuona level 5 anaenda mtaani akiwa hana shule kichwan, so watu weng wanakamatwag hapo!
 
Ndio ameshapata sasa

Nauliza kama kuna uwezo wa kuendelea level 6 kwenye mwaka huu wa masomo hasa ukizingatia chuo chao mwisho level 5 tuuu
 
Aaah, nilikua sijakupata, Hapo haiwezekani! Sababu ya kwanza ni kama pale juu, huwezi vuka level kama huja clear ya nyuma, pili atakua kweny mifumo ya nacte kasajiliwa kama certificate so hawez upgrade to diploma kama haja graduate certicate!
 
kuna kipindi ilikuwa inawezekana kufanya sup akafaulu na kuendela, sijui kwa sasa ipoje
 
Soma vitabu kijana, hasa kwa masomo manne hayo except health promotion,
Pharmacology kuna Katzug na Basic Pharmacology.
Paediatric kuna WHO Hospital Pocket Book na Nelson paediatric book
Obs kuna 10 teachers na Duta kama sijakosea
Communicable apo unasoma tanzania treatment guideline kujua ku diagnose na guided treatment
asante sana kaka ngoja nivitfute
 
Habari za muda huu ndugu zangu. Na mshukuru mungu mimi ni mzima wa afya. Nimekuja hapa ndugu zangu naombeni msaada wenu wa mawazo baada ya kupita level 4 semester 2 kwa GPA ndogo(GPA 3) mtihani wa NACTE ambayo sikuwai hata kuota ila na mshukuru mungu maana mwaka huu ufaur ulikuwa ni shida weng wameangukia kwenye SUPP na RM(kwa walio fatilia basi na iman watakuwa wame jionea hili). Naombeni ushaur wenu vitu gani nivifanye ili hii level 5 niongeze GPA yangu maana nimeambiwa level 5 shule ndio inaanza rasm.

Naomben ushauri wa hivi vitu:
1 Je kusoma vitabu ni vizuri zaid kuliko kusoma module??(level iliyopita sikuwahi kusoma hata kitabu kimoja zaid ya module).

2. Vitabu gani vizuri zaid kuvisoma kwa level yangu?

3. Je kuna yeyote mwenye bank ya maswali??( Chuon kwetu hawatupagi maswali na maanisha past paper hawatupi kabisa kwa hiyo hata mfano wa maswali huwaga hatujui unakuja kuona maswali CAT 1).

4. Naomba ushaur wowote unaujua utakaoweza nisaidia mdogo wenu. Chuo kinafunguliwa tar 22 mwez huu.

Samahani kwa kiswali kibovu ndugu zangu na kwa wale waliosoma zaman level 5 semester 1 masomo yetu ni
1 HEALTH PROMOTION
2 PEDIATRICS
3 PHARMACOLOGY
4 OBSTESTRICS & GYNECOLOGY
5 COMMUNICABLE DISEASE.
ASANTENI SANA WAKUBWA KWA MUDA WENU
Kwani highest GPA ya NTA level 4 ni 5 ama.4?
 
Back
Top Bottom