Kama ni muhimu uwe unajiongeza kwa kwenda kwa mafundi ukalipie ufanyiwe kazi yako.
Sikatai kuwa privacy ni muhimu. Hashaa!!!
Assume umemkuta mtu kakwama mahala, ukaona ni vema umsaidie, halafu yeye anasema. Broo usije kuwa mwizi ukaniibia hapa. Nadhani unaelewa inavyokuwa.