msaada nokia pc suite kwa tablet

oxlade

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2012
Posts
601
Reaction score
96
naomben msaada ni vp nnaweza kuitumia nokia yangu e51kama modem katika tablet??? je tablet zinakubali nokia pc suite???
2. je nokia e51 inaweza kuprovide wireless kama androids???
natanguliza shukran zangu
 
tafta joiku spot ina turn cm into wireless spot
 
^
Hii joiku kwangu haikubali chief me natumia e51 labda unipe msaada wa link boss.

haikubali nini?
Nna jamaa yangu ana e51 nimemuekea inakubali vizuri tu ni wewe ndo umeshindwa kuieka na unaposema imekataa unamaanisha nirudie upya tutorial inabidi uelezee umefanya nini na nini na umekwama wapi
 
haikubali nini?
Nna jamaa yangu ana e51 nimemuekea inakubali vizuri tu ni wewe ndo umeshindwa kuieka na unaposema imekataa unamaanisha nirudie upya tutorial inabidi uelezee umefanya nini na nini na umekwama wapi

Nkiingia kwenye site yao option inayonipa ni ya kulipia na si ya bure, then ktk sehem ya cm znazokubali hii k2 pale e51 siioni, kwa kuwa step 1 wanasema chagua cm yako hii siioni
 
ingia ovi.mobi af search joikuspot utaikuta lite edition ambayo ni freeeeee
 
msaada mwngne ni vp nnaweza kuyaona mafile ya cm kwenye pc kwa ku2mia hii k2?
 
nimepata tatzo jamani, kwenye pc inadetect lakn kwenye tablet haidetect, msaada jaman
 
jaman msaada cjafanikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…