hiyo nokia ni durable na ni very responsive ukilinganisha na techno.
nokia lumia bluetooth inasumbua ikiwa na window phone 7 ila uki upgrade to 7.8 inakuwa poa
ussd pia haiko supported kwa nokia zote zenye windows phone 7 (including lumia 610) ila nokia wametengeza app inayo itwa emDIAL ina saidia kusolve hilo tatizo
Ushauri:
Nunua nokia yenye widows phone 8