Msaada (Nokia E90) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada (Nokia E90)

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Senghor, May 5, 2009.

 1. S

  Senghor Member

  #1
  May 5, 2009
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima kwenu wakuu. Nataka ku-download Apache http server(mobile version) ili i-run on my Nokia E90(Symbian 9.2 OS, S60 3rd edition feature pack 1)
  Tatizo ni kwamba napata certifcate error wakati wa installation kwa sababu certifcate yake haijasainiwa. Nimejaribu kui-sign online kwenye www. symbiansigned.com bila mafanikio. Kuna njia gani nyingine hata kama zitakuwa hacking, zinazowezesha applications zinazoleta certifcate errors wakati wa installation ziweze kuinstall na kufanya kazi bila matatizo?
  Natanguliza shukrani.
   
 2. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #2
  May 5, 2009
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Ku Sign apps tembelea link hii sing your self


  .

  Ku hack simu yako tembelea link hii hack simu yako
  .

  hii link nyengine hack simu yako

  .
  kwa ushauri wang ni bora ku hack, kwasababu hacking ni mara moja tu! Lakini signing ni kila utakapotaka kuinsatall unsigned apps. ukikwama rudi tena tutasaidiana
   
  Last edited: May 5, 2009
 3. S

  Senghor Member

  #3
  May 6, 2009
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru BinMgen. Links hizo mbili nimezishughulikia. Link ya kwanza imenipeleka kwenye web ambayo ina hatua tano za kufuata. Kwenye hatua ya nne inatakiwa ku-upload app ili iweze kusainiwa online, nimefanya hivyo lakini nimekuwa nikipata 'verification code error' hatua ya tano ni ya kudownload 'S603rdSigner' ambayo haikufanya kazi.
  Nimejaribu link ya pili na kudownload apps nilizotumia kuhack simu yangu, na hakuna tena tatizo, kwani nimeinstall apps kama apache http server, tracert, windows 95(symbian version) etc.
   
Loading...